Skip to main content
Skip to main content

Maafisa Nandi wataka usimamizi wa majanga ujumuishwe kwenye mtaala

  • | Citizen TV
    197 views
    Duration: 1:50
    Maafisa wa sekta ya kushughulikia majanga katika Kaunti ya Nandi wameitaka Wizara ya Elimu kujumuisha masomo ya usimamizi wa majanga katika mtaala wa sasa wa elimu ili kuwapa wanafunzi maarifa na ujuzi wa kukabiliana na hali hatari na za dharura.