- 1,860 viewsDuration: 2:43Maafisa saba wa sasa na wa zamani wa Kaunti ya Nakuru wamekamatwa na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kwa tuhuma za kuhusika na ulaghai wa zabuni za kaunti zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 120. Wakati huo huo, EACC imepata ushindi katika kesi za kurejesha ardhi za serikali zilizokuwa zimenyakuliwa katika maeneo ya Kizingo, Kaunti ya Mombasa, na Diani, Kaunti ya Kwale. Maryanne Nyambura ana taarifa zaidi.