- 503 viewsDuration: 2:06Maafisa tabibu wa kaunti ya Kwale hii leo wamefanya maandamano mjini kwale hadi katika ofisi za waziri wa afya wa kaunti hiyo wakishinikiza kutekelezwa kwa matakwa sita ambayo wanataka serikali ya kaunti hiyo kufanikinisha kabla warejee kazini.