17 Jun 2026 1:28 pm | Citizen TV 296 views Duration: 1:29 Maafisa tabibu katika Kaunti ya Kwale wamesitisha mgomo wao uliodumu kwa takriban siku 33, hatua inayotarajiwa kurejesha kikamilifu utoaji wa huduma za afya katika vituo mbalimbali vya matibabu kaunti hiyo.