3 Jun 2026 1:11 pm | Citizen TV 286 views Duration: 2:11 Juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa Ebola zinaendelea kuimarishwa barani Africa huku maafisa wa afya kutoka mataifa mbalimbali wakishirikiana kuandaa mikakati ya kudhibiti na kuangamiza ugonjwa huo.