- 373 viewsDuration: 2:41Huku msambao wa ugonjwa wa ebola ukizidi kushuhudiwa katika taifa la DRC na nchi jirani ya Uganda, wataalam wa sekta ya afya kutoka mataifa ya afrika ya kati, mashariki na kusini mwa afrika wazuru kituo cha mpaka wa Kenya na Uganda mjini Busia ili kukagua mikakati iliyowekwa.