- 409 viewsDuration: 1:26Kaunti ya Kirinyaga yawapokea maafisa kutoka Idara ya biashara, nishati na ustawi wa viwanda kutoka kaunti ya Bungoma waliotembelea kituo cha viwanda cha Sagana kwa lengo la kujifunza kuhusu utekelezaji wa mradi huo kabla ya kuanzisha mradi kama huo katika Kaunti ya Bungoma.