- 113 viewsDuration: 1:45Maafisa wa Kituo cha kitaifa cha kukabiliana na ugaidi NCTC wamefanya kikao na wadau wa usalama katika kaunti ya Tana River ili kutambua mbinu zinazotumika na magaidi kushawishi vijana wenye umri mdogo kujiunga na kundi hilo.