1 Oct 2026 10:25 am | Citizen TV 1,446 views Duration: 1:22 Maafisa wa kliniki katika Kaunti ya Kakamega wameandamana na kuvamia ofisi ya Waziri wa Afya, wakishinikiza serikali ya kaunti kutia saini Mkataba wa Makubaliano (CBA).