Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa kliniki za umma bado wanagoma Taita Taveta

  • | Citizen TV
    178 views
    Duration: 1:54
    Maafisa tabibu kaunti ya Taita Taveta wasema wataendelea na mgomo wao ambao wadumu kwa siku 36 kushinikiza mkataba wa makubaliano na serikali ya kaunti kutekelezwa. Wakizungumza mjini Voi maafisa hao wasema sharti suala la kupandishwa vyeo, kucheleweshwa kwa mishahara yao kuangaziwa na serikali ya kaunti kabla ya kurudi kazini.