Katibu wa maswala ya vijana Fikirini Jacobs, ameandikisha taarifa katika makao makuu ya kitengo cha DCI hapa Nairobi, kufuatia kupigwa risasi na kuuawa kwa kijana mmoja.Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusiana na mauaji ya kijana huyo Cecil Ouma siku ya jumanne katika mazingira ya kutatanisha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive