- 181 viewsDuration: 1:14Kitengo cha kukagua miradi ya serikali kwa ushirikiano na maafisa kutoka ikulu na idara ya usalama katika kaunti ya Nyamira, wautetea utendakazi wa serikali ya Kenya Kwanza wakitaka serikali ipewe muda wa kukamilisha miradi iliyoahidi.