- 29,964 viewsDuration: 4:17Maafisa wa ujasusi kule Suneka kaunti ya Kisii waendelea na msako wa watu ambao wamekuwa wakiwaibia wafanyabiashara wa MPesa katika mji huo. Kisa cha hivi karibuni kinahusisha jamaa mmoja aliyeonekana kwenye kanda ya CCTV kabla ya kumhadaa mwenye duka na kutoroka na shilingi 98,000 jumapili. Watu wengine kadhaa Suneka waripoti kuibiwa na watu hao .