- 14,062 viewsDuration: 6:27Baadhi ya miili ya wanafunzi walioangamia kwenye mkasa wa moto katika shule ya wasichana ya Utumishi waliteketea kiwango cha kutojulikana. Mpasuaji wa serikali Dkt. Titus Ngulungu asema kuwa mchakato wa kutambua miili kwa kutumia msimbojeni wa DNA utatumika kusaidia kutambua miili. Miili ya waathiriwa ilipelekwa katika makafani ya hospitali ya Naivasha.