Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa usalama watumia mbinu mpya za doria

  • | Citizen TV
    6,391 views
    Duration: 3:12
    Maafisa wa usalama walionekana kubadili mbinu za operesheni kwa kutumia aina tofauti za magari kufanya doria katika maeneo mbalimbali. Aidha, baadhi yao walionekana kufunika nyuso kwa barakoa na kutovalia magwanda rasmi ya kazi. Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema mbinu mpya zinazotumika ni za kiusalama na kijasusi kwa lengo la kuhakikisha utulivu na ulinzi wa wananchi. Katika eneo la Rongai, hali ilishuhudiwa kuwa tulivu huku shughuli za kawaida zikiendelea kama ilivyopangwa.