Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa usalama wavamia maduka ya pombe haramu na sigara katika kaunti ya Meru

  • | Citizen TV
    2,578 views
    Duration: 1:05
    Maafisa wa usalama wakiwemo wa NACADA, wamevamia maduka yanayodaiwa kujihusisha na usambazaji wa pombe haramu na sigara zisizoidhinishwa na serikali katika eneo la Laare, Kaunti ya Meru.