- 1,773 viewsDuration: 1:05Katibu katika wizara ya usalama wa ndani, Dkt. Raymond Omollo amesema Wajir iko tayari kuandaa sherehe za madaraka mwaka huu, huku uwanja mkuu ukiwa umefika asiliia 28, na akisisitiza kuharakishwa kwa kazi kabla ya Juni Mosi.