22 Apr 2026 10:19 am | Citizen TV 528 views Duration: 5:37 Maandalizi ya uchaguzi wa viongozi wa mashinani wa chama cha UDA kaunti ya Kisii yamekamilika. Wasimamizi wa shughuli hiyo wanafanya mkutano wa mwisho huku usalama ukiimarishwa maeno yote ya uchaguzi katika kaunti hiyo.