- 1,782 viewsDuration: 2:10Ikiwa imesalia siku moja kabla ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Emurua Dikirr, mshirikishi mkuu wa Bonde la Ufa, Abdi Hassan Noor, amefanya mkutano wa faragha na vitengo vya ulinzi na kusisitiza kuwa yeyote atakayejaribu kuleta vurugu atakabiliwa. Haya yakijiri, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka imesema maandalizi yamekamilika katika vituo vyote vya upigaji kura.