- 856 viewsDuration: 2:00Wakazi wameandamana kupinga hatua ya kuhamishwa kwa baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kaimosi. Wafanyabiashara wa Shamakhokho wameonya kuwa hatua hiyo inaweza kuathiri shughuli zao za kibiashara na maisha ya wakazi wanaotegemea uwepo wa wanafunzi katika eneo hilo.