Skip to main content
Skip to main content

Maandamano Nakuru kufuatia kutoweka kwa mtoto wa miaka minne

  • | Citizen TV
    779 views
    Duration: 3:32
    Wakaazi wa eneo la Mzee Wanyama, kaunti ya Nakuru, walifanya maandamano ya amani hii leo kushinikiza maafisa wa polisi kuchukua hatua za kuhakikisha mtoto wa miaka minne aliyeibwa anapatikana. Wakazi hao wanaitaka polisi kuharakisha uchunguzi na kubaini aliko mtoto huyo ambaye amekuwa akitoweka kwa wiki mbili sasa. Kufuatia kisa hicho, watu wawili wamekamatwa na kuafikishwa mahakamani.