Skip to main content
Skip to main content

Maandamano ya 2024: Kizazaa kilishuhudiwa mahakamani Kiambu wakati washukiwa walifikishwa

  • | NTV Video
    2,099 views
    Duration: 1:10
    Kizaazaa kilishuhudiwa nje ya mahakama ya Kiambu wakati washukiwa wanaokabiliwa na mashtaka ya kuteketeza ofisi za serikali Kikuyu wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa 2024 walipofikishwa mahakamani. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya