- 2,321 viewsDuration: 7:46Maandamano ya Juni 25 mwaka huu jijini mombasa yalikuwa tofauti sana na kawaida ambapo polisi hukabiliana na waandamanaji na gesi za kutoa machozi kutapakaa kote. Hakukuwa na uharibifu wowote wa mali wala maafa au nipe nikupe na maafisa wa polisi. Kando na hayo, kuporomoshwa kwa jumba lenye ghorofa tisa kulikuwa tukio la kukumbukwa mwaka wa 2025