Skip to main content
Skip to main content

Maaskofu wa Pentecostal wataka ufafanuzi kuhusu mradi wa Dangote

  • | Citizen TV
    804 views
    Duration: 2:23
    Muungano wa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya Pentecostal kote nchini umemtaka Rais William Ruto kushughulikia wasiwasi unaozunguka mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote katika Kaunti ya Lamu, huku ukisisitiza kuwa mradi huo unapaswa kuendelea kama ulivyopangwa. Maaskofu hao wamesema serikali lazima ieleze wazi athari na manufaa ya mradi huo kwa Wakenya, hasa wakazi wa maeneo yanayohusika. Pia wameitaka serikali kuepuka kutumia nguvu katika kutekeleza mradi huo.