- 2,890 viewsDuration: 1:12Wizara ya Maswala ya Kigeni nchini Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi yanayoweza kutoa visa za kwenda nchini humo. Taarifa zaidi zinaarifu kuwa Mabalozi 50 yaliyoko barani Afrika ambayo yanatoa huduma hiyo Marekani yatapunguzwa hadi 20 katika muda wa wiki kadhaa zijazo.