1 Apr 2026 1:56 pm | Citizen TV 594 views Duration: 1:11 Mabingwa mara nne wa kombe la dunia italia wamekosa kufuzu kwa awamu tatu mfululizo baada ya kulazwa kupitia matuta ya penalti dhidi ya Bosnia kwa mabao manne kwa moja kwenye mechi ya mchujo.