- 262 viewsDuration: 1:32Hatimaye maboma 200 katika kijiji cha Lugulu, eneo bunge la Butula, kaunti ya Busia yameunganishwa na umeme baada ya kukamilishwa na kuzinduliwa kwa mradi wa usambazaji umeme vijijini na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Felix Koskei.