9 Sep 2026 10:35 am | Citizen TV 610 views Duration: 1:57 Machifu wastaafu wamekashifu kile walichotaja kuwa vitendo vya wahuni wa kisiasa na kuwataka wakazi wa Bonde la Ufa kudumisha amani na utulivu.