Skip to main content
Skip to main content

Macho kwa Mbadi na Wandayi

  • | Citizen TV
    5,123 views
    Duration: 3:07
    Wizara ya Kawi pamoja na ile ya fedha zimejipata katikati ya mgogoro unaoendelea kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta. Mawaziri Opiyo Wandayi na John Mbadi ambao zamani walikuwa upande wa upinzani sasa wamelazimika kuitetea serikali ambayo waliikosoa vikali hapo awali. mawaziri hao wawili sasa wakionekana kusubiri uokozi kutoka kwa Rais William Ruto kuokoa hali inayotishia kuathiri pakuwa uchumi wa taifa.