- 2,912 viewsDuration: 2:58Maafisa wa mahakama na wale wa usalama leo wamemuongoza mhubiri tata Paul Mackenzie na washukiwa wenzake wa mauaji ya Shakahola na Kwa Binzaro hadi nyumbani kwake eneo la Furunzi kaunti ya Kilifi County. Wakati wa ziara hiyo, ukaguzi wa kanisa lake ulifanywa na baadhi ya mashahidi waliokuwa waumini wakitoa taarifa zao mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu Wendy Kagendo. Mwanawe Mackenzie naye pia alielezea mahakama kuhusu hatari ya imani hiyo ambayo anadai hadi sasa inaendelea.