- 5,067 viewsDuration: 2:40Mchakato wa kisiasa inazidi kushika kasi kufuatia madai kwamba vitambulisho vya kitaifa vya wakenya waliofariki vinaweza kutumiwa katika njama inayodaiwa kulenga kushawishi matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya