3 Jun 2026 1:24 pm | Citizen TV 277 views Duration: 2:03 Madaktari katika kaunti ya Isiolo wameanza rasmi mgomo wao baada ya kukamilika kwa ilani ya mgomo wa siku 21 iliyotolewa kwa serikali ya kaunti hiyo.