Skip to main content
Skip to main content

Madaktari wa watoto wapewa mafunzo maalum huko wote

  • | Citizen TV
    105 views
    Duration: 1:41
    Balozi wa taifa la Israeli humu nchini Gideon Behar amesema taifa la Israeli litaendelea kushirikiana na Kenya katika maswala mbalimbali ikiwemo afya . Akizungumza mjini wote kaunti ya Makueni alipofungua warsha ya kutoa mafunzo maalum ya matibabu ya watoto kwa madktari na wauguzi zaidi ya 60 amesema uhusiano wa kenya na Israeli ni mzuri na unaendelea kuimarika.