- 911 viewsDuration: 2:09Madaktari nchini wametishia kujiunga na mgomo wa wauguzi ambao umeingia siku ya 40. Wakizungumza jijini Nairobi, chama cha madaktari nchini KMPDU kimesema iwapo serikali haitatatua mzozo huo ndani ya wiki moja, madaktari nao wataingia kwenye mgomo. KMPDU imesema hatua hiyo inalenga kushinikiza serikali kushughulikia matakwa ya wauguzi na kumaliza mkwamo huo.