- 357 viewsDuration: 3:38Kukamilika kwa ujenzi wa madarasa sita katika Shule ya Msingi ya Enkii huko Kajiado Kusini kumetoa matumaini ya kuimarika kwa elimu katika shule hiyo. Awali wanafunzi walikuwa wanasomea kwenye mazingira duni, madarasa hayo yalikuwa katika hali mbaya na kuhatarisha maisha ya wanafunzi.