- 555 viewsDuration: 3:10Visa vya ajali barabarani vikiendelea kuripotiwa nchini swala la ufisadi katika barabara kuu nchini linaibuka. Baadhi ya madereva wakielezea hali ngumu wanayopitia mikononi mwa maafisa wa polisi wengi wakidai kwamba wasipotoa hongo basi huenda wakalimbikiziwa makosa zaidi. madereva na abiria wanaitaka serikali kutekeleza kikamilifu ripoti ya jopo kazi kuhusu idara ya polisi..