Skip to main content
Skip to main content

Madereva wengi kaunti ya Embu wapatikana na matatizo ya macho

  • | Citizen TV
    407 views
    Duration: 2:06
    Maafisa wa afya katika Kaunti ya Embu wameibua wasiwasi kuhusu visa vya kuona vitu mara mbili miongoni mwa madereva, wakionya kuwa matatizo ya macho yasiyogunduliwa mapema yanaweza kuhatarisha usalama barabarani na kuongeza hatari ya ajali.