Skip to main content
Skip to main content

Madereva zaidi ya 1,000 wafanyiwa uchunguzi wa macho Laikipia

  • | Citizen TV
    460 views
    Duration: 1:45
    Zaidi ya madereva elfu moja, wakiwemo madereva wa magari ya uchukuzi wa umma, wamefanyiwa uchunguzi wa macho katika Kaunti ya Laikipia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Afya ya Macho.