- 1,127 viewsDuration: 2:45Madiwani wa zamani katika kaunti ya Elgeyo Marakwet, wamezidisha shinikizo la kulipwa pensheni na serikali. Wakizungumza baada ya mkutano wa faragha wameelezea kupitia masaibu tele na kumrai rais William Ruto kusikiza kilio chao.