Skip to main content
Skip to main content

Maelfu wajumuika na Fred Obachi Machoka kusherehekea miaka 50 katika utangazaji

  • | Citizen TV
    34,522 views
    Duration: 2:34
    Maelfu ya Wakenya walijitokeza kuungana na mtangazaji nguli Fred Obachi Machoka aliyeadhimisha miaka 50 katika tasnia ya utangazaji. Sherehe ya aina yake na ya kukata na shoka ilifanyika katika uwanja wa Ulinzi Sports Complex hapa jijini Nairobi usiku wa Jumamosi. Wanamuziki tajika wa Rhumba walikuwepo kwenye burudani ya sherehe hizi, kama anavyotuarifu Steve Shitera.