- 1,402 viewsDuration: 1:59Maelfu ya wakazi kutoka vijiji vitatu vya mnazi mmoja A, mnazi mmoja B, Majahazini A na majahazini B eneo bunge la Magarini kaunti ya kilifi wameandamana kulalamikia kuhangaishwa na maafisa wa ardhi wanaoendesha zoezi la upimaji wa ardhi ya ekari zaidi ya 900 eneo hilo.