Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya Wakenya wakaribisha mwaka mpya 2026 kwa shangwe na mbwembwe Nairobi

  • | Citizen TV
    1,530 views
    Duration: 3:07
    Wakenya waliukaribisha mwaka mpya wa 2026 kwa shangwe na mbwembwe si haba. Jijini Nairobi, maelfu ya watu walikusanyika katika maeneo maarufu kama bustani ya Uhuru, na hata KICC, ambapo fataki zilitanda hewani huku miziki na nderemo zikiteka anga kuukaribisha mwaka mpya