Skip to main content
Skip to main content

Maeneo mengi yalihangaika na usafiri kwa kutwa nzima

  • | Citizen TV
    8,501 views
    Duration: 3:04
    Shughuli za kawaida za usafiri zilitatizika pakubwa katika miji mbalimbali nchini huku maeneo mengine yakishuhudia vurugu na makabiliano makali baina ya maafisa wa polisi na wananchi waliokuwa wakiandamana kutokana na bei ya juu ya mafuta. baadhi ya stendi za magari ziligeuzwa kuwa viwanja vya michezo.