Skip to main content
Skip to main content

Maeneo mengi yashuhudia mafuriko kufuatia mvua kubwa

  • | KBC Video
    2,102 views
    Duration: 3:28
    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha humu nchini imesababisha mafuriko na kuharibu barabara na makazi katika sehemu mbalimbali. Jijini Nairobi mtu mmoja amefariki kutokana na mvua hiyo. Msemaji wa serikali Dkt. Isaac Mwaura amesema mwathiriwa ambaye ni mwanamke wa umri wa miaka 29, alisombwa na mafuriko Jumanne Usiku. Wakati huo huo, huduma ya Kitaifa ya polisi inawasihi Wakenya kuwa waangalifu ili kuepuka majanga zaidi wakati huu wa msimu wa mvua. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive