Skip to main content
Skip to main content

Mafunzo ya ujuzi wa kidijitali yatolewa magerezani

  • | NTV Video
    77 views
    Duration: 1:34
    Idara ya Huduma za Urekebishaji wa Tabia nchini Kenya imeshirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali kuzindua mpango ulioboreshwa wa mafunzo ya ujuzi wa kidijitali unaolenga wafungwa katika angalau magereza 15 kote nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya