22 Apr 2026 10:13 am | Citizen TV 6,351 views Duration: 7:20 Mvua kubwa inayoendelea kunyesha imekuwa kero kwa wakazi wa Mombasa. Baadhi ya barabara na makazi zimeathirika hasa maeneo ya Nyali Kisauni na Likoni.