Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini I Afisa mkuu wa kituo cha polisi Kabarnet Shamza Abedi atambuliwa na IPOA

  • | KBC Video
    348 views
    Duration: 2:43
    Afisa mkuu anayesimamia kituo cha polisi cha Kabarnet Shamza Abedi, ametambuliwa na halmashauri huru ya kutathmini utendakazi wa polisi kwa jitihada zake za kukabiliana na pombe haramu na kuimarisha usalama mjini Kabarnet , kaunti ya Baringo. Kwa haya na mengine, ni kwenye mkusanyiko wa habari kutoka kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive