17 Apr 2026 1:09 pm | Citizen TV 1,406 views Duration: 2:22 Polisi jijini Nairobi wanasema wamewakamata washukiwa 84 wanaodaiwa kuwa wanachama wa magenge yanaohangaisha wakazi. Kati yao, 48 ni wahuni wanaotumia pikipiki na bunduki bandia