- 5,971 viewsDuration: 1:37Maafisa wa shirika la VOCAL Africa wanahutubia wanahabari kuhusu utepetevu wa polisi wa kukabiliana na magenge ya wahalifu katika mikutano ya kisiasa. kulingana nao, polisi wana uwezo wa kuzima magenge hayo na kuwakamata wahusika lakini hawafanyi hivyo kama ilivyoonekana katika mkutano wa vyama vya upinzani huko Kikuyu wiki iliyopita.