Skip to main content
Skip to main content

Magereza ya ukanda wa chini yaanza kukarabatiwa kabla ya mvua ya El Niño

  • | Citizen TV
    563 views
    Duration: 1:08
    Idara ya magereza inasema tayari imeanzisha mchakato wa ukarabati wa magereza yaliyoko ukanda wa chini wa taifa, kama njia ya kuhakikisha wafungwa na maafisa wanaowalinda wameepushwa na madhara ya mvua ya El-Nino, inayotarajiwa kuanza chini ya majuma mawili.